Katibu Tawala mkoa wa Morogoro, Eria Ntandu kulia akipata maelezo kutoka kwa Shaka Abdallah juu ya mapambo ya nyumbani ya matunda yanayotokana na miti wakati wa maonyesho ya bidhaa kwa wajasiliamali yaliyoandaliwa na taasisi ya sekta binafsi (TPSF) kupitia programu ya fanikiwa kibiashara (BDG) iliyofanyika kwenye ukumbi wa Savoy Hoteli mkoani hapa.
Katibu Tawala mkoa wa Morogoro, Eria Ntandu kulia akipata maelezo kutoka kwa Bonaventura Mkaka kushoto juu ya matofali ya kuunga katika maonyesho hayo mkoani hapa.
0 comments:
Post a Comment