VIFAA VYA DARAJA LA MTO MALAGARASI KIGOMA VYAKWAMA MKOA WA MOROGORO KWA MUDA WA MWEZI KABLA YA KUFARISHWA.
Sehemu ya vifaa zinavyotarajia kutumika katika ujenzi wa daraja la mto Malagarasi mkoani Kigoma vikiwa vimekwama kwa zaidi ya mwezi mmoja sasa vikiwa katika stesheni ya shirika la reli ya kati katika mkoa wa Morogoro (TRL) baada ya kudaiwa kushindwa kusafirishwa kwa vifaa hivyo kunakodaiwa shirika hilo kukabiliwa na ukata ambapo kwa sasa vifaa hivyo tayari vimeanza kusafirishwa kuanza safari ya kwenda Kigoma hapa nchini.
0 comments:
Post a Comment