BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

ULIMBOKA MWAKINGWE BAADA YA KUZIMIA KATIKA MSIBA WA RAFIKI YAKE.

Mchezaji wa klabu ya simba, Ulimboka Mwakingwe akitayarishiwa kinywa aina ya fanta na mke wake Neila Mwakingwe kushoto kufuatia kuzimia kwa muda wa nusu saa baada ya kuona mwili wa rafiki yake kipenzi, Benedict Tabeji ambaye alicheza naye soka katika klabu ya Chui Mzumbe, Mnadani FC kisha Reli Morogoro kuanzia mwaka 198 hadi 2000 ambapo Mwakingwe alijiunga na Simba na yeye Moro United.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: