Mama mzazi wa mchezaji wa soka wa jeshi la Polisi Shinyanga marehemu, Benedict Tabeji, Fornata Joseph (54) akianga mwili wa mwanae muda mfupi ya kwenda kuzika katika makaburi ya Kola mkoani Morogoro kufuatia kufariki dunia April 14 kwa ajli ya pikipiki mkoa Shinganya eneo la Sanava ikihusihswa na lori aina ya scania T315 AEU katika barabara kuu Mwanza-Shinganya.
MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment