BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

MWANDISHI WA MWANANCHI MORO AFIWA NA MAMA YAKE MZAZI.

 MWANDIHI WA MWANANCHI COMMUNICATION LTD MKOA WA MOROGORO LILIAN LUCAS WA PILI KUTOKA KUSHOTO AKIFARIJIWA NA RAFIKI YAKE WA GAZETI LA UHURU NA MZALENDO MKOA WA HUO KATIFA GAZNEL BAADA YA KIFO CHA MAMA YAKE MZAZI FLORIDA KASENENE ALIYEFARIKI DUNIA NYUMBANI KWAKE KIHONDA MANISPAA YA MOROGORO NA KUZIKWA KATIKA MAKABURI YA KOLA MKOANI HAPA.
NDUGU, JAMAA NA MARAFIKI WAKIWA WAMEBEBA JENEZA LENYE MWILI WA MAMA MZAZI WA MWANDISHI WA COMMUNICATION LTD MKOA WA MOROGORO, LILIAN LUCAS (FLORIDA KASESE 48) AMBAYE ALIFARIKI DUNIA NYUMBANI KWAKE KIHONDA AMBAPO MWILI HUO UKITOKEA KATIKA CHUMBA CHA KUHIFADHIA MAITI CHA HOSPITALI YA MKOA WA HUO KUTOKA KWENYE GARI KWA AJILI YA SALA KABLA YA KWENDA KUMZIKA MAKABURI YA KOLA MKOANI HAPA.

UONGOZI WA BLOGU UNATOA POLE KWA MWANDISHI HUYU PAMOJA NA FAMILIA KWA UJUMLAN KUTOKANA NA MSIBA HUO, BWANA AMEUMBA NA BWANA AMETWAA ROHO YA MAREHEMU ILALE MAHALA PEMA PEPONI AMINA.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: