BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

VITA MANYIKA NAOKOA HATARI KATIKA LANGO LANGU.

Mlinda mlango wa JKT Mlale, Vita Manyika akiwania mpira na mshambuliaji wa Tanzania Prinson, Lugano Mwangama (16) huku mchezaji JKT Mlale Edward Balimi (9) akimzuia mshambuliaji huyo ili asilete madhala katika lango lao wakati ligi daraja la kwanza hatua ya tisa bora katika uwanja wa Jamhuri mkoani Morogoro hivi karibuni .
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: