Mwamuzi wa kati Maalim Abasi kutoka Rukwa (mwenye mpira) Shabaan Shata Kigoma na Salma Omari Kilimanjaro wakielekea uwanjani kwa ajili ya kuchezesha mchezo baina ya Mbeya City FC na JKT Mlale wakati wa ligi daraja la kwanza hatua ya tisa bora katika uwanja wa jamhuri Morogoro hivi karibuni.
MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment