Mshambuliaji wa timu ya soka ya wasichna Manispaa ya Morogoro Christina Daud jezi ya blue akimtoka mlinzi wa wilaya ya Kilombero Averine Linyamala kushoto wakati wa mashindano ya ufunguzi ya umoja wa michezo shule za sekondari Tanzania ngazi ya mkoa wa Morogoro kwenye uwanja wa Jamhuri mkoani hapa, katika mchezo huo Manispaa iliibuka na ushindi wa bao 1-0.
Mshambuliaji wa timu ya soka wasichana ya Manispaa ya Morogoro Withness Adolf kushoto akiwania mpira na mlinzi wa wilaya ya Kilombero, Rose Wilbrod katika mchezo huo.
0 comments:
Post a Comment