Maafisa wa kikosi cha usalama barabarani mkoa wa Morogoro wakikagua basi aina ya Yutong T846 BCU mali ya kampuni ya Moro Best ya Morogoro baada ya kupata ajali na kuungua moto katika eneo la Sangasanga kufuatia kujitokeza hitilafu ya umeme katika basi hilo barabara kuu Iringa-Morogoro hata hivyo chanzo cha ajali hiyo haikuweza kufahamika mara moja na hakuna abiria wote walinusurika ambalo lilikuwa ikitokea jijini Dar es Salaam kwenda wilaya ya Kilosa mkoani hapa juni 11 mwaka huu.
Basi hilo likiwa linaenekana sehemu ya mbele na upande wa mlango mara baada ya kupata ajali hiyo.
Baadhi ya watoto wakazi wa Sangasanga wakiwa na makalatasi ambayo yanadaiwa kuwa yalikuwa kwa ajili ya mitihani kwa shule za msingi Kilosa wakiwa wameyaokota kwa ajali ya kuyafanyia kazi kwa lengo la kujisomea na kujibu maswali.
Sehemu ya wasafiri wakiwa hawana la kufanya baada ya kutokea ajali hiyo.
0 comments:
Post a Comment