Mkuu wa mkoa wa Morogoro Joel Bebdera akizungumza jambo na kaimu
mkurugezni mkuu wa mamlaka ya udhibiti wa usafiri wa nchi kavu na majini
(Sumatra) Ahmed Kilima wakati wa
ufunguzi wa mkutano wa utoaji wa leseni za usafirishaji abiria kwa
pikipiki za magurudumu mawili na matatu pamoja na udhibiti wake
iliyohusisha maafisa biashara katika halamshauri zote nchini kwenye
ukumbi wa Glonece Nane Nane mkoani hapa.
Mkuu wa mkoa wa Morogoro Joel Bebdera akizungumza jambo wakati wa
ufunguzi wa mkutano wa utoaji wa leseni za usafirishaji abiria kwa
pikipiki za magurudumu mawili na matatu pamoja na udhibiti wake
iliyohusisha maafisa biashara katika halamshauri zote nchini kwenye
ukumbi wa Glonece Nana Nane mkoani hapa.
Kaimu Mkurugezni Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (Sumatra) Ahmed Kilima naye akizungumza jambo katika wa ufunguzi huo.
Kamanda wa polisi kikosi cha usalama barabarani, (SACP) Mohamed Mpinga kulia na baadhi ya viongozi wa juu wa kikosi hicho wakifuatilia matukio katika mkutano huo.
Maafisa wateule kutoka halmashauri nchini na maafisa wa Sumatra nao wakifuatilia matukio mbalimbali wakati wa ufunguzi wa mkutano huo ambao umefanyika kwa siku mbili katika ukumbi wa Glonence 88 mjini Morogoro.
Mkuu wa mkoa wa Morogoro katikati waliokaa na Kaimu Mkurugezni Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (Sumatra) Ahmed Kilima kulia kwake wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi hao mara baada ya mkuu huo wa mkoa kufungua mkutano huo wa siku mbili mkoani hapa.
0 comments:
Post a Comment