Afisa mfawidhi wa Sumatra mkoa wa Morogoro, Walukani Luhamba akizungumza jambo na viongozi wapya wa chama cha wamiliki wa vyombo vya usafiri mkoa huo (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa chama hicho mtaa wa stesheni mkoani humo na kulia ni Jamali Mitundwa kutoka jeshi la polisi kitengo cha elimu kwa umma usalama barabarani na kushoto ni Afisa Biashara Manispaa ya Morogoro, Prosper Fuime.
MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment