Makamu wa Rais wa Afrika ya Kusini, Kgalema Motlante akiweka shada la maua katika mnara wa kumbukumbu wa kuwakumbuka raia wa nchi hiyo waliofariki dunia katika kambi ya Mazimbua mkoani Morogoro.
Makamu Motlante akizungumza na wananchi wa Manispaa ya Morogoro wakati wa ziara yake Mazimbu mkoani hapa.
Makamu Motlante wa pili kutoka kulia akizuru makaburi ya raia wa nchi yake ambao walifariki dunia wakati chama cha ANC kikipigania uhuru huku akiongozwa na Makamu mkuu wa Chuo cha Kilimo cha Sokoine (SUA)Morogoro Profesa, Gerald Munella mbele katika makaburi yaliyopo Mazimbu mkoani hapa.
Makamu wa Rais wa Afrika ya Kusini, Kgalema Motlante kulia akizungumza jambo na Waziri Shukuru Kawamba kushoto na Mkuu wa mkoa wa Morogoro Joel Bendera (katikati) wakati wa ziara yake
Makamu wa Rais wa Afrika ya Kusini, Kgalema Motlante kushoto akisikiliza swali kutoka kwa mtangazaji wa kituo cha luninga cha SABC nchini Afrika ya Kusini Thulasizwe Simelane wakati makamu huyo akizungumza na waandishi wa habari.
Makamu wa Rais wa Afrika ya Kusini, Kgalema Motlante na mkewe Mtshali Motlante wakiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi wa nchi hiyo waliopo katika ziara katika chuo kikuu cha kilimo cha Sokoine (SUA) Morogoro.
Makamu wa Rais wa Afrika ya Kusini, Kgalema Motlante akikaribishwa na mwenyeji wake mkuu wa mkoa wa Morogoro Joel Bendera kulia katika uwanja wa ndege mkoani hapa, kushoto ni mke wa makamau huyo Mtshali Motlante.
MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment