Mchezaji wa Timu ya Azam, Khamis Mcha (22) akipimana ubavu na
Shomari Kapombe wa Simba katika mchezo wa mashindano ya Cecafa Kagame
2012 katika hatua ya robo fainali Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam ambapo mchezo huo ulimalizika kwa Simba kukubali kutandikwa bao 3-1 yaliyofungwa na mshambuliaji John Boko huku la Simba likifungwa na Kapombe.
Picha Kwa Hisani ya Full Shangwe.
0 comments:
Post a Comment