BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

WAZIRI MKUU PINDA KUFUNGUA MAONYESHO YA WAKULIMA KANDA YA MASHARIKI UWANJA WA MWL NYERERE NANE NANE MOROGORO.

WAZIRI kuu mizengo Pinda anatarajia kuwa mgeni rasmi katika ufunguzi wa maonyesho ya wakulinda kanda ya mashariki yanayoanza leo kwenye uwanja wa Mwl Julius Nyerere Nane Nane mkoani Morogoro.


Pichani Pinda kulia akipatiwa maelezo juu ya mahindi yaliyooteshwa katika kitalu maalum katika kijiji cha Pangawe wakati aliptembelea shamba darasa la wakulima wa mahindi baada ya serikali ya Korea Kusini kupitia shirika la Koica ambalo linatoa mafunzo ya kilimo hicho.

kushoto kushoto ni Mtaalam wa kilimo wa shirika hilo Dkt Hee Sung Ahn na katikati ni Balozi wa Korea kusini nchini Yuong Hoon Kim.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: