BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

YANGA YAITANDIKA APR BAO 2-0 KOMBE LA KAGAME UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR ES SALAAM

 Mshambuliaji wa mabingwa watetezi kombe la Kagame Yanga Afrika ya jijini Dar es Salaam Tanzania, Saidi Bajanuz kulia akiwani mpira dhidi ya mlinzi wa klabu ya APR ya Rwanda, Mbuyu Twita kushoto wakati wa michezo inayoendelea ya hatua ya makundi ya kuwania kombe hilo ambapo katika mchezo huo ulimazika kwa vijana hao wa Jangwani kuondoka na ushindi wa bao 2-0 zilizofungwa na mshambuliaji huyo.
 KIKOSI CHA YANGA AFRIKA,  DAR ES SALAAM TANZANIA
KIKOSI CHA APR, RWANDA. 
Picha Blog:Issa Michuzi
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: