Mchezaji wa timu ya Simba ya Tanzania
Felix Sunzu kulia akimiliki mpira mbele ya mlinzi wa Vital Club ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Ilongo Ilifo wakati wa mchezo wa kuwania kombe la
Kagame uliofanyika kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam na mchezo huo kumalizika kwa sare ya bao
1-1.
Picha Blog ya Full Shangwe.
0 comments:
Post a Comment