BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

Makamu Wa Rais DKT Bilal Afutarisha Wananchi Wa Kisiwa Cha Pemba


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akijumuika na baadhi ya Viongozi na wananchi wa Kisiwa cha Pemba, katika Futari aliyowaandalia wananchi hao na kufuturu nao kwa pamoja katika Ukumbi wa Makonyo Chakechake Pemba jana.
Wake wa Makamu wa Rais, Mama Zakhia Bilal (katikati) na Mama Asha Bilal (wa pili kulia) wakijumuika na wananchi katika hafla ya futari ya pamoja iliyoandaliwa na Makamu wa Rais iliyofanyika katika Ukumb wa Makonyo Chakechake Pemba jana.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.Mohammed Gharib Bilal, akiagana na baadhi ya wananchi wa Kisiwa cha Pemba, baada ya hafla fupi ya futari aliyowaandalia wananchi hao na kufuturu nao pamoja katika Ukumbi wa Makonyo Chakechake Pemba jana.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: