Mwenyekiti wa maonyesho ya wakulima kanda ya mashariki (TASO) Mohamed
Mzee mwenye tai akisikiliza maelezo na wakuoimba mbalimbali kutoka kwa
Mtafiti kilimo kituo cha utafiti wa mpunga Katrin Ifakara, Dkt Sophia
Kashenge kushoto wakati walipotembelea banda la kilimo, chakula na
ushiriki utafiti na maendeleo kanda ya mashariki katika maonyesho ya
wakulima ya kanda hiyo ambapo kauri mbiu ya maonyesho hayo ni "zalisha
kisayansi na teknolojia kukidhi mahitaji ya ongezeko la idadi ya watu
yanayofanyika kwenye uwanja wa Mwl Julius Nyerere Nane Nane mkoani
Morogoro.
Mtafiti huo, Dkt Sophia
Kashenge kushoto akifafanua jambo juu ya zao hilo kwa wakulima waliotembelea banda hilo.
0 comments:
Post a Comment