ALIYEKUWA ASKARI WA JESHI LA POLISI MKOA WA MOROGORO KONSTEBO DONARD KWA JINA MAARUFU DUNGA AMEFARIKI DUNIA BAADA YA MWILI WAKE KUKUTWA UKINING'INIA JUU YA MTI KANDO YA DARAJA MAARUFU LA MTO MOROGORO LILILOPO KATIKATI YA MANISPAA YA MOROGORO, ENEO LA SHAN MAJIRA YA ALFAJI YA LEO.
TAARIFA ZA TUKIO HILO LIMEPOKEWA KWA HISIA TOFAUTI BAADA YA ASKARI HUYU KUPINGA HADHARANI VITENDO VYA RUSHWA NA KUDILIKI KUWAJATA KWA MAJINA ASKARI WALIOKUWA AKIWATUHUMU NDANI YA KIKOSI CHA KUPAMBANA NA UJAMBAZI KWA KUTUMIA SILAHA AMBAPO MAKAO MAKUU YA JESHI HILO LILITUMA WACHUNGUZI WAKE LILOFANYA ASKARI HAO NA VIONGOZI .
UCHUNGUZI HUO ULIPELEKEA KWA ASKARI HAO WATUHUMIWA KUHAMISHWA VITUO VYAO VYA KAZI.
TAARIFA ZAIDI TUTAENDELEA KUJULISHA KADILI TUTAKAPO PATA TAARIFA NYINGINE.
UONGOZI WA BLOG HII INATOA POLE KWA FAMILIA YA MAREHEMU KWA MSIBA HUO.
0 comments:
Post a Comment