Mkazi wa Manispaa ya Morogoro kata ya Mjipya akiwa amebeba ndoo mbili zenye maji kichwani huku nyingine mkononi eneo la Shujaa baada ya kutembea umbali mrefu kusaka maji kwa ajili ya matumizi mbalimbali ya nyumbani kufuatia kuwepo kwa mgao wa maji mkoani hapa.
MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment