Mfanyabiashara wa kuuza ndizi mbichi akikokota baiskeli iliyosheheni mikungu ya ndizi hizo wakati akielekea soko kuu la mkoa wa Morogoro kwa ajili ya kusaka wateja wa kuwauzia ambapo wateja wake wakuu kwa wakati huu ni waumini wa dini ya kiislamu ambao hutumia katika mapishi ya futari katika mwezi huu mtukufu wa mfungo huu wa mwezi wa mtukufu wa ramadhani mkoani hapa.
MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment