Meneja mauzo wa kampuni ya mwananchi Communicational Ltd mkoa wa Morogoro, Sopi Samwel kulia akimkabidhi hundi yenye thamani ya sh200,000 mwanafunzi wa kidato cha kwanza shule ya sekondari Mgulasi, Nuru Ramadhan (14) baada ya kushinda katika mpango wa PAA NA MWANANCHI unaotoa udhamini kwa wananfunzi 100 wanaonufaika na udhamini wa elimu kuanzia kidato cha kwanza hadi cha nne katika hafla ya makabidhiano yaliyofanyika kwenye ofisi za gazeti hilo mtaa wa Fondogolo mkoani hapa.
MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment