BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

MTANDA AMBWAGA DKT KIGWANGALLA KATIKA UCHAGUZI MDOGO MWAKILISHI WA BUNGE LA AFRIKA KATIKA KIKAO CHA 46 CHA BUNGE DODOMA LEO.

Mbunge wa jimbo la Mchinga mkoa wa Lindi ambaye pia ni Mwakilishi wa Bunge la Afrika, Saidi Mtanda (kushoto) akisalimiana na Mbuge wa jimbo la Rungwe Magharibi Prof. David Mwakyusa (kulia) nje ya ukumbi wa Bunge leo mjini Dodoma kabla ya kufanyika kwa uchaguzi wa muwakilishi wa Bunge la Afrika ambapo katika uchaguzi huo mdogo, Mtanda alimshinda mpinzani wake Dkt. Hamis Kigwangalla kwa kura 145 kwa 72.

Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: