Mwenyekiti wa baraza la vijana Chadema (BAVICHA) John Heche akifafanua jambo mbele ya wajumbe wa kamati ya utendaji wa baraza hilo wakati wa kikao cha baraza la vijana Bavicha katika hoteli ya Top Life mkoani Morogoro. Kushoto ni Katibu Bavicha Deogratias Munishi na kulia ni Shariffa Seleman Makamu Mwenyekiti Zanzania.
UFAFANU: Mwenyekiti
wa baraza la vijana Chadema (BAVICHA) John Heche akifafanua katika kikao hicho.
Sehemu ya wajumbe wa kikao cha baraza la vijana Chadema (BAVICHA) katika kamati ya utendaji kutoka mikoa yote ya Tanzania Bara na Zanzibar wakifuatilia matukio ya kikao hicho katika ukumbi wa Top Life mkoani Morogoro.
Mwenyekiti wa baraza la vijana chamde (BAVICHA) mkoa wa Morogoro Boniface Ngonyani (katikati) akiwa na wajumbe wengine wakati wa kikao hicho cha kamati ya utendaji ambapo leo ndiyo wanamalizika.
0 comments:
Post a Comment