Kwa mujibu wa Reporters Without Borders ( Taasisi ya Waandishi wa habari wasiyo na mipaka yenye makao yake makuu nchini Ufaransa)
2012: Journalists killed (Waandishi na wafanyakazi wengine wa vyombo vya habari waliouawa kwa mwaka 2012)
39 Journalists killed
146 journalists
imprisoned (Waliofungwa)
Kwa mujibu wa Taasisi
y a kuwalinda waandishi wa habari (Committee to Protect Journalists-CPJ)
Nchi zinazoongoa kwa waandishi wake kuuawa tokea mwaka 1992 (Deadliest Countries)
|
Waliouawa hivi karibuni (Recently Killed)
Tamer al-Awam, Freelance
September 9, 2012, in Aleppo, Syria
Daudi Mwangosi, Channel Ten
September 2, 2012, in Iringa,
Tanzania
0 comments:
Post a Comment