Makamu wa Rais Dk. Mohammed Galib Bilal, akisaini katika kitabu cha maombolezo ya kifo cha aliyekuwa Mbunge wa Tabora mjini,Siraju Kaboyonga, aliyefariki dunia juzi na kuzikwa jana jijini Dar es Salaam. Makamu alifika kuhani msiba huo nyumbani kwa marehemu Sinza jijini Dar es Salaam jana.Katikati ni Balozi Mstaafu, Hashim Mbita na Mwenyekiti wa Chama cha Cuf, Prof.Ibrahim Lipumba.
Makamu, akishiriki kuomba dua kabla ya kuondoka.
Makamu wa Rais akiagana na waombolezaji wakati akiondoka eneo hilo.
0 comments:
Post a Comment