Mwenyekiti Mbowe akihutubia wafuasi wa chama chake makao makuu baada ya Lema Kurudishiwa ubunge na mahakama ya rufaa
Mwanachama akiwa na bango linalosema SAY NO TO TBC.ikumbukwe kuwa kamati kuu ya chama ilishatangaza mgogoro na TBC.
Umati wa wanachama wakiwa makao makuu
Lema akiongea na viongozi wa chadema, Lwakatare(mkurugenzi wa ulinzi na usalama wa taifa) na John mrema (mkurugenzi wa Bunge na Halmashauri)
0 comments:
Post a Comment