BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

MGOGORO WA DRC KATI YA SERIKALI NA KUNDI LA WAASI LA M23 KUANZA KUZUNGUMZA IJUMAA MJI MKUU KAMPALA NCHINI UGANDA .

Wapiganaji wa M23 wakiondoka karibu na mji wa Sake kiasi cha 

kilomita 42 magharibi mwa Goma Novemba 30,2012

MSEMAJI wa serikali ya Uganda Fred Opolot anasema wajumbe kutoka serikali ya Congo na kundi la waasi la M23 wataanza vikao vya awali mjini Kampala vitakavyolenga namna ya kutatua mgogoro wao.
 
Anasema mazungumzo yatalenga juu ya kanuni za msingi kwa  mikutano ya baadae na miongozo kwa  waangalizi ambao watafuatilia  maeneo ya mzozo huko mashariki mwa DRC.

Kundi la m23 liliondoka kutoka mji wa Goma uliopo mashariki mwa DRC wiki iliyopita lakini kundi hilo linatishia kuuteka tena mji huo  kama serikali inashindwa kuanza mashauriano.
Waasi walilishinda  jeshi la Congo katika mifululizo kadhaa ya mapigano mwaka huu.

Jopo moja la wataalamu wa Umoja wa Mataifa linaishutumu Uganda na Rwanda kwa kulisaidia kundi la waasi kitu ambacho nchi zote zinakanusha.
 
Taarifa ya Alhamis kutoka kwa Opolot ilisema “Uganda kama mwenyekiti wa sasa wa mkutano wa kimataifa wa eneo la maziwa makuu inaendelea kuratibu utaratibu wa amani huko DRC”.
 
Kundi la M23 limeundwa na waasi wa zamani ambao waliingizwa  katika jeshi la Congo kufuatia  mkataba wa amani wa mwaka 2009. Waasi walijitoa kwenye jeshi mapema mwaka huu wakidai kubaguliwa na kupatiwa  huduma mbaya.

Mapigano yamewakosesha makazi zaidi ya watu 100,000 katika jimbo la Kivu kaskazini huko Congo na kusababisha kuwepo hali mbaya ya kibinadamu katika eneo hilo.

Msemaji wa serikali ya Uganda Fred Opolot anasema wajumbe kutoka serikali ya Congo na kundi la waasi la M23 wataanza vikao vya awali mjini Kampala vitakavyolenga namna ya kutatua mgogoro wao.
 
WAASI wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo-DRC, Ijumaa watafanya mazungumzo na serikali ya Congo.

Msemaji wa serikali ya Uganda Fred Opolot anasema wajumbe kutoka serikali ya Congo na kundi la waasi la M23 wataanza vikao vya awali mjini Kampala vitakavyolenga namna ya kutatua mgogoro wao.
 
Anasema mazungumzo yatalenga juu ya kanuni za msingi kwa  mikutano ya baadae na miongozo kwa  waangalizi ambao watafuatilia  maeneo ya mzozo huko mashariki mwa DRC.

Kundi la m23 liliondoka kutoka mji wa Goma uliopo mashariki mwa DRC wiki iliyopita lakini kundi hilo linatishia kuuteka tena mji huo  kama serikali inashindwa kuanza mashauriano.

Waasi walilishinda  jeshi la Congo katika mifululizo kadhaa ya mapigano mwaka huu.

Jopo moja la wataalamu wa Umoja wa Mataifa linaishutumu Uganda na Rwanda kwa kulisaidia kundi la waasi kitu ambacho nchi zote zinakanusha.
 
Taarifa ya Alhamis kutoka kwa Opolot ilisema “Uganda kama mwenyekiti wa sasa wa mkutano wa kimataifa wa eneo la maziwa makuu inaendelea kuratibu utaratibu wa amani huko DRC”.
 
Kundi la M23 limeundwa na waasi wa zamani ambao waliingizwa  katika jeshi la Congo kufuatia  mkataba wa amani wa mwaka 2009. 

Waasi walijitoa kwenye jeshi mapema mwaka huu wakidai kubaguliwa na kupatiwa  huduma mbaya.

Mapigano yamewakosesha makazi zaidi ya watu 100,000 katika jimbo la Kivu kaskazini huko Congo na kusababisha kuwepo hali mbaya ya kibinadamu katika eneo hilo.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: