BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

NYASI KWA AJILI YA KUEZEKEA NYUMBA.

Hizi ndizo bati za nyumba nyingi za vijijini ambazo hupatikana kwa msimu, pichani ni wakazi wa kijiji cha Miembeni tarafa ya Malinyi wilaya ya Ulanga kule kwa watani zangu (nyumbi hii bombo hii) a.k.a wapogolo wakisaidiana kusukuma baiskeli iliyofunwa tololi iliyoshehene vitita vya nyasi baada ya kukata katika jangwa kwa ajili ya kuezeekea nyumba zao ikiwa ni mbadala ya mabati mkoani Morogoro.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: