BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

PICHA YA WIKI: MBINU MPYA YA KUKABILIANA NA WAWINDAJI HARAMU WA FARU AFRIKA YA KUSINI NI HII HAPA.

Huku visa vya uwindaji haramu wa vifaru ukifika viwango vya juu nchini Afrika Kusini, walinda pori siku ya Jumanne walikagua ndege hii maalum inayoweza kutambua wawindaji haramu katika mbuga mashuhuri nchini humo ya Kruger. Wawindaji haramu huwaua wanyama hao kwa sababu ya pembe zao ambazo huziuza barani Asia ambako zinatumika kama dawa za kienyeji.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: