BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

SHAMLA SHAMLA YA SIKUKUU YA KRISMASI MJI KASORO BAHARI (MOROGORO) LEO.

 Wafanyabiashara wa miti maalum na mapambo wakisubiri wateja wao kwa ajili ya kuwauzia ikiwa maandalizi ya sikukuu ya krismasi inayoadhimishwa duniani kote kwa waumini wa dini ya kikristo ya kuzaliwa kwa yesu kristo miaka 2000 iliyopita katika barabara ya Madaraka eneo la Luna Manispaa ya Morogoro.
 Mkazi wa Manispaa ya Morogoro akiwa amebeba lundo la miti hiyo mara baada ya kununua.
 Mgambo wa Manispaa ya Morogoro akiangalia kamera mara baada ya kupigwa picha wakati akiwa katika jitihada za kumuondoa mfanyabiahsra wa mapambo katika eneo la Jamati ambalo limepigwa marufuku kwa wafanyabiashara ndogo ndogo ufanya biashara eneo hilo.
 Mwendesha pikipiki akiwa na lundo la miti hiyo kwa ajili ya mapambo mara baada ya kununua kwa ajili ya mapambo katika makazi yake.
Jamaa mwenye fulana nyeupe akiwa amejishika kiuno huku akimwangalia kijana wakati akitayarisha miti hiyo baada ya kununu ili kupakia katika gari ili akapambe ikiwa ni maandalizi ya sikukuu ya krismasi.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: