Hapa ni eneo la wafanyabishara ndogondogo almaarufu kama wamachinga wakiwa eneo la viwanja vya NMC
Baada ya
Godbless Lema kushinda ubunge wake jijini dar es salam huko arusha ni
furaha katika makundi mbalimbali,Vijana wamesimama katika makundi madogo
madogo na wale waendesha pikipiki maarufu kama bodaboda wakipiga hono
mji mzima ambapo watu maweacha kufanya shugulu zao na kujadili ushindi
wa mbunge wa jimbo hilo la arusha mjini.hali ni shwari kabisa..
Shamra shamra nyingi kwa kweli
0 comments:
Post a Comment