BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

HABARI PICHA HUKUMU YA RUFAA YA GODBLESS LEMA BAADA YA MAHAKAMA KUMREJESHEA UBUNGE JIMBO LA ARUSHA MJINI.


 Lema kulia, Mbowe na Nassari wakiwa mahakamani muda mfupi kabla ya kuanza kusikiliza rufani ya mbunge huyo.
 Mawakili wakiwa kwenye viti vyao wakipitia rufaa hiyo kabla ya kutoa hukumu.
 Hawa ndiyo waliokuwa wamefungua kesi dhidi ya lema wakiwa katika mahakama hiyo wakisubiri kutolewa kwa rufaa ya hukumu ya kesi hiyo
 Mahakamani,lissu,nassari,mwenyekiti mbowe na kilewo wakiteta na mke wa lema
 Lema akianza kutoa hotuba fupi baada ya kutoka mahakamani.kulia ni joshua nassari
 Vitalisi kimomogoro,wakili wa lema.huyu ndiye amekuwa na kesi hii tangu kuanza
 Tundu lisu,mtetezi wa lema.aliingia baada ya kesi kufika mahakama ya rufaa.ameshangiliwa sana

 Askari wakisindikiza msafara wa wafuasi wa CHADEMA
 Hapa lema akiwa na kilewo wakati wa maandamano ya kutoka mahakamani kuelekea makao makuu ya chadema


Hukumu imeangalia haswa swala la Locus Stand ya kama waliofungua kesi walikuwa na haki kisheria ya kufanya hivyo.imeangaliwa kwa kina na kuonekana kuwa kadiri ya pingamizi ya mawakili wa lema kimomogoro na Tundu Lissu,waliofungua shitaka dhidi ya lema hawakuwa na locus stand ya kufanya hivyo.kwa hiyo mengine yote yanakuwa null and void.hukumu haikuchukua hata nusu saa. Lema sasa ni mbunge halali wa arusha mjini.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: