Msafara wa wafuasi wa chadema kutoka mkoa wa arusha wakielekea uwanja wa ndege wa kimataifa wa kilimanjaro tayari kumpokea mbunge wao Mh Godbles Lema aliyeshinda rufaaa yake jana jijini dar es salaa..
Msafara wa wafuasi wa chadema ukikatika katika barabara kuu ya arusha moshi kuelekea kia
Hili ni gari la wazi lililoandaliwa maalum kwa ajili ya Mbunge huyo..
0 comments:
Post a Comment