Ngarawa mbili za mbele zikichuana vikali katika mashindano yalio fanyika huko forodha mchanga ikiwa ni shamra shamra za miaka 49 ya Mapinduzi ya Zanzibar.Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar.
Naibu Waziri wa Ardhi,Makazi,Maji na Nishati Haji Mwadini Makame akimkabidhi zawadi mshindi wa kwanza katika mshindano hayo Nahodha Fundi Abuubakar kutoka Bumbwini.Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar.
Wananchi wakisubiri kwa hamu kuanza kwa mashindano ya resi za ngarawa yalioyofanyika huko forodha mchanga ikiwa ni shamra shamra za miaka 49 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
0 comments:
Post a Comment