BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

BREAKING NEWZZZ ;POLISI WALIPUA MABOMU YA MACHOZI DAR ES SALAAM

The secretary of the Council of Muslims’ Organisations, Sheikh Ponda Issa Ponda, in a pensive mood when he and 49 followers were arraigned before the Kisutu Resident Magistrates’ Court in Dar es Salaam on Thursday charged with causing breach of peace, including inciting violence and wilful damage to property. (Photo by Mohamed Mambo) 
Breaking News:Polisi jijini DSM imepambana na baadhi ya watu wanaodaiwa ni Waumini wa dini ya Kiislam walioamua kuandamana katika maeneo ya Kariakoo licha ya kupigwa marufuku kwa maandamano hayo na jeshi la Polisi,na lengo la maandamano hayo ni kushinikiza kupewa dhamana kwa Sheikh Issa Ponda.
  Endelea kutufuatilia......
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: