Rais
Jakaya Kikwete akisalimiana na Mbunge,Mh Mbatia muda mfupi mara baada ya
kufika na kujionea hali halisi ya jengo la Ghorofa lililoporomoka
mapema leo asubuhi na kupelekea watu wawili kupoteza maisha na wengine
17 kujeruhiwa vibaya.,aidha shughuli za ukoaji zinaendelea kwani
inadaiwa kuna watu wengi zaidi wamefunikwa na jengo hilo.
Mkuu wa
Mkoa wa jiji la Dar Es Salaam,Mh Said cMeck Sadick shoto akiwa
ameambatana na Rais Jakaya Kikwete muda mfupi mara baada ya kufika na
kujionea hali halisi ya jengo la Ghorofa lililoporomoka mapema leo
asubuhi na kupelekea watu wawili kupoteza maisha na wengine 17
kujeruhiwa vibaya,kulia ni Mke wa Rais Mama Salma Kikwete.
Mkuu wa
Mkoa wa jiji la Dar Es Salaam,Mh Said Meck Sadcik akifafanua jambo kwa
Rais Jakaya Kikwete muda mfupi mara baada ya kufika na kujionea hali
halisi ya jengo la Ghorofa lililoporomoka mapema leo asubuhi na
kupelekea watu wawili kupoteza maisha na wengine 17 kujeruhiwa
vibaya,kulia ni Mke wa Rais Mama Salma Kikwete.
Rais
Kikwete akiondoka eneo la tukio mara baada ya kujionea hali halisi ya
tukio zima la kuanguka kwa ghorofa linalodaiwa kuwa na idadi ya ghorofa
16.
Mkuu wa
Mkoa wa jiji la Dar Es Salaam,Mh Said Meck Sadick akipewa pole na Katibu
wa NEC,Siasa na Uhusiano wa Kimataifa.Dkt.ASha-Rose Migiro kuhusiana na
tukio zima la kuanguka kwa jengo la Ghorofa mapema leo asubuhi, jijini
Dar.
0 comments:
Post a Comment