KWA UFUPI.
Jana kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam Yanga
iliandika ushindi wake wa 15 msimu huu katika mechi 20 baada ya kuifunga
Ruvu Shooting kwa bao 1-0, shukrani kwa bao la Hamis Kiiza dakika ya
48.Mshambuliaji wa Yanga, Simon Msuva (kushoto) akifanyiwa faulo na beki wa
Ruvu Shooting, Mau Bofu wakati wa mchezo wa Ligi Kuu Bara kweney Uwanja
wa Taifa, Dar es Salaam jana.
Picha na Michael Matemanga.
Picha na Michael Matemanga.
0 comments:
Post a Comment