BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

ACHA KABISA KUCHEZEA UHAI, HAKUNA UZAHA WAKATI KIFO KINAONEKANA.


Mnyama anayeaminika kuwa ndiye mbabe katika pori (SIMBA) akitimua mbio kukwepa kipigo kutoka kwa nyati ambao wangehatarisha maisha yake baada ya zoezi la kuwinda kushtukiwa na kubadilishiwa kibao kama pichani inavyoonekana katika moja ya hifadhi za taifa za wanyamapori hapa Tanzania ikiwa ni njia ya kujinusuru na kifo kutoka kwa nyati hao waliokasirika.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: