Katibu
Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdurahman Kinana akisalimiana na
Mohamed Seif Khatib Katibu wa NEC Oganizesheni wakati alipowasili katika
eneo la Nanenane mkoani Morogoro leo tayari kwa kuanza ziara ya siku
kumi ya kichama katika mkoa huo.Ziara hiyo ina lengo la Kuhamasisha
wananchi kushiriki katika utekelezaji wa miradi na kusimamia serikali
katika kutekeleza ilani ya uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi.
Katibu
Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdurahman Kinana akisalimiana
wananchi mbalimbali wakati walipompokea kwenye viwanja vya Nanenane
mjini Morogoro kushoto ni Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Nape
Nnauye 
Ndugu Abdurahman Kinana akisalimiana na wananchi mbalimbali 
Ndugu Abdurahman Kinana akiongea na wananchi katika eneo la Nanenane mjini Morogoro.
Msafara ukiongozwa na mapikipiki kuelekea mjini Morogoro 
Msafari unaingia mitaa ya Morogoro mjini 
Katibu
Mkuu wa CCM Abdurahman Kinana akiwasili katika ofisi za CCM mkoa wa Dar
es salaam kushoto ni Mohamed Seif Khatib Katibu wa NEC Oganizesheni 
Ndugu Abdurahman Kinana akiongea na wananchi mara baada ya kuwasili katika ofisi za CCM Mkoa. 
Ndugu Abdurahman Kinana akisaini kitabu cha wageni katika ofisi za CCM mkoa wa Morogoro. 
Mbunge wa
Morogoro Mjini Mohamed Abood kushoto akiongea na Mbunge wa Morogoro
Kusini Mashariki Lucy Nkya kulia na katikati ni Sara Msafiri Mbunge wa
viti maalum vijana Taifa

0 comments:
Post a Comment