Fundi wa shirika la umeme katika mkoa wa Morogoro akirekebisha nyaya za
umeme kufuatia hitilafu iliyotokea katika eneo la mtaa wa Fondogolo Manispaa ya Morogoro jana.
umeme kufuatia hitilafu iliyotokea katika eneo la mtaa wa Fondogolo Manispaa ya Morogoro jana.
Mfanyabiashara wa kuuza kandambili zinazotokana na mazao ya mifugo akiwashawishi wateja
wake kununua bidhaa hiyo ambapo kandambili hizo alikuwa akiuza kati ya
sh 15,000 hadi sh 18,000 mtaa wa Fondogolo mkoani Morogoro.
0 comments:
Post a Comment