Gwiji na mkongwe wa miondoko ya Taarabu nchini Bi Kidude.
“Kwa ufupi alilazwa kipindi kirefu na baadaye akatolewa, lakini baadaye akaja kuendelea kuumwa tena tukampeleka hospitali tukawa tunampeleka kwenda na kurudi hapa juzi.
akaanza kuzidiwa tena tukampeleka hospitali moja inaitwa Keeni kwa ajili ya matibabu zaidi na drip na vitu vingine lakini baadaye baada ya siku ya tatu mwenyezi Mungu akachukua roho yake,” amesema Omar.
0 comments:
Post a Comment