Van Persieakifunga bao la pili kwa njia ya mkwaju wa penalti baada ya kuangushwa katika eneo la hatari na mlinzi wa Stoke City ligi kuu ya England na kuibuka na ushindi wa bao 2-0.
Kocha wa Sunderland, Paolo Di Canio akishangilia usnidi dhidi ya Newcastle kufuatia timu yake kuibuka na ushindi wa bao 3-0.
0 comments:
Post a Comment