WATOTO 380 WABOBEA KATIKA ULEVI NCHINI UINGIREZA mtanda blog 6:39 PM Edit SASA tatizo la ulevi lawavamia watoto chini ya umri wa miaka 10 chini Uingereza huku wengine wakilazwa hospitalini. Wataalam wanasema karibu watoto wapatao 380 wamefikishwa hispitalini na kulazwa kutokana na kuchanganyikiwa kulikosababishwa na ulevi. Kunywa pombe Uzeeni ni hatari kwa akili. Mzee huanza kuwa na matatizo ya kusahau sahau na kuonekana mkosa hekima na busara. Wataalam wagundua kuwa muziki mwaafaka ni mtamu hata zaidi ya starehe ya ngono...Muziki unamaliza uasherati. Share on Facebook Share on Twitter Share on Google Plus About mtanda blog Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari RELATED POSTS
0 comments:
Post a Comment