MAADUI wakubwa kwa binadamu wakiwemo Simba, Chui, Tembo na wengine wengi lakini viumbe hao wakiwa karibu na binadamu huacha tabia zao za kumdhuru na kuwa marafiki wakubwa, pichani mtoto akiwa amekaa kwenye mdomo wa Mamba aliyetanua mdomo wake ikiwa ni moja ya urafiki kwa binadamu.
0 comments:
Post a Comment