WATU wengi zaidi wamejiandikisha kushiriki kwenye marathon ya Madrid,
Uspania, ya Jumapili ya mwisho wa Aprili baada ya shambulio la bomu
kwenye marathon ya Boston siku ya Jumatatu.
Waandalizi wa mbio hizo wanasema watu waliojiandikisha ilizidi mara nne baada ya shambulio la Boston.
Mkuu wa kamati ya Olimpiki ya Uspania ambayo
inajitayarisha kuomba kuandaa Olimpiki ya mwaka wa 2020, alisema
wanaoshiriki kwenye marathon wakiongezeka ndio sifa kubwa ambayo watu wa
Madrid wanaweza kuupa mji wa Boston.
MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment