Otilia
Boniface kulia na Janeth Tingisha.
Wanenguaji wa Bendi ya Extra Bongo, Otilia Boniface na Janeth Tingisha mwishoni mwa wiki iliyopita walitoa kali ya mwaka baada ya kutaka kutwangana makonde wakigombea kutoa namba zao za simu kwa buzi la Kizungu.
Tukio hilo lilitokea ndani ya Ukumbi wa Meeda uliopo
Sinza jijini Dar ambapo awali Mzungu huyo alivutiwa na wadada hao hivyo
kuwafuata na kuomba namba ya simu ya mmoja wao.
Kufuatia ombi la Mtasha huyo, kila mmoja alitaka apate
nafasi hiyo ndipo wanenguaji hao waliposukumana na kufikia hatua ya Janeth
kuchukua simu ya ''Otilia'' na kuipiga chini ila kwa busara
za Mzungu huyo alichukua namba za wote.
Chanzo http://masainyotambofu.blogspot.com
0 comments:
Post a Comment