Moto
umetokea jijini Dar maeneo ya Posta katika jengo moja ambalo wanaishi
watu. Mwandishi wetu Zainab Chondo aliyekuwapo katika tukio ametuambia kwamba
ghorofa hiyo ni mali ya NHC, na moto huo umeharibu jengo lenyewe na
kuunguza vitu vilivyokuwa ndani. chanzo hakijajulikana, endelea
kutufuatilia kwa taarifa zaidi.
MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment