![]() |
Huyu ndie kijana alietaka kuwaibia majeruhi kwa bahati nzuri askari walifanikiwa kumtia mbaroni na kumpa kichapo kitakachofuata ni kuelekea katika kituo cha policsi. |
![]() |
Hili ndilo Gari lililotelekezwa na mwenyewe kukimbia baada ya kusababisha ajali. |
![]() | ||
GARI la mizigo lililokuwa mwendo wa kasi kutokea Dar Es Salaam
kuelekea Tanga liligon gana uso kwa uso na kosta iliotokea Arusha kuelekea Dar Es Salaam. |
![]() |
Gari ya police iliokuja kutoa msada wa kuwapeleka majerui katika HOSPITALI ya TUMBI kwa matibabu zaidi. |
![]() |
![]() |
Hawa ni baadhi ya majerui walikuwepo katika kosta. |
0 comments:
Post a Comment