MMOJA WA DEREVA KATI WA LORI AKIWA AMEKAA CHINI BAADA YA KUVUNJIKA MIGUU KISHA MUDA MFUPI KUFARIKI DUNIA KATIKA BARABARA KUU YA MOROGORO-PWANI ENEO LA BWAWANI MKOA WA PWANI AMBAPO WATU WATATU WALIFARIKI DUNIA PAPO HAPO BAADA YA KUTOKEA AJALI YA LORI NA TANKI LA MAFUTA KUGONGANA USO KWA USO MARCHI 31/ 2013.
LORI LIKIWA LIMEANGUKA NA KUHARIBIKA VIBAYA BAADA YA KUTOKEA AJALI HIYO.
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg1Ma8cLjzj5gn9f4_rFRLyIr5uM2m9kGmF77YeHpOWnnTOnwgbyVmwHxHK-sjHX5frR_6ARyXSZZMdMcOu2UQLAzBNGsczW19wvpEbaAqOWSmHLqfxwj9zhcSuS5gQ87n_WQXEetG7Pzc/s640/pix+no+2.jpg)
LORI LIKIWA LIMEZIBA BARABARA BAADA YA KUTOKEAA AJALI HIYO NA KUSABABISHA FOLENI KUBWA KWA MAGARI YALIYOKUWA YAKITUMIA BARABARA HIYO KUTOKA KWENDAA DAR ES SALAAM NA MOROGORO.
0 comments:
Post a Comment